Nafasi ya kazi kwa wawezeshaji wanawake wa midahalo ya Kijamii

Jumuiya ya Wanawake wenye Ulemavu Zanzibar (JUWAUZA) inatangaza nafasi 4 kwa wanawake tu, watakaoendesha midahalo kwa makundi mbalimbali katika jamii katika kutatua migogoro na kujenga maridhiano kwenye jamii zao. Shughuli zote za mradi zimefadhiliwa na Foundation for Civil Society wakishirikiana na Search for Common Grounds. Pata sifa za muombaji katika chapisho lifuatalo.

Leave a Reply

Your email address will not be published.